Jinsi Ya Kutangaza Biashara
Biashara huweza kwenda vizuri zaidi ukiitangaza. Zipo njia nyingi ambazo unaweza kutumia katika kutangaza biashara yako. Na kila njia ina fada zake na hasara zake, ila unaweza chagua njia moja ambayo unaweza kuwa ukiitumia.
Ni njia zipi naweza kuzitumia kutangaza Bidhaa zangu?
Hapa unaweza kuchagua njia nzuri na rahisi kwako kulingana na kipato chako.
Wasiliana nami.
Simu: 0628 420 222
Instagram: Mdaki.Jr
![]() |
MdakiJunior - Matangazo |
Hapa unaweza kuchagua njia nzuri na rahisi kwako kulingana na kipato chako.
- Kutangaza kupitia Televisheni - Hii ni njia bora kwa kutangaza bidhaa au Biashara yako, pia inakupa nafasi ya kufikia watu wengi zaidi, hasa wale wanaotumia televisheni sana sana watu waishio mjini.
- Kutangaza kwa kutumia Radio - Hii ni njia ambayo matangazo yako yanasambazwa kwa njia ya redio, njia hii ni nzuri zaidi kwani hufikia watu wa rika zote na kwa sehemu kubwa, kwani asilimia kubwa ya watu wote waishio miji au vijijini hutumia husikiliza redio.
- Kutangaza kupitia Matamasha au Michezo - Hii ni njia nzuri pia katika kufikia watu ambao wamekusanyika sehemu moja kwa lengo la kushuhudia tamasha au michezo.
- Kupitia mitandao ya kijamii - Hii ni njia ambyo kwa asilimia kubwa hutumiwa na watu kwa sasa, kwani kutokana na kukua kwa teknolojia imekua rahisi kutangaza bidhaa au huduma kwa wananchi na kuwezesha kufikia watu wengi zaidi.
Nawezaje kuvutia watu Kutumia Bidhaa zangu.
Njia ya kuvutia watumiaji au wateja wa huduma yako itategemea na wewe unavotangaza bidhaa zako, ubora wa bidhaa hizo na njia unayoitumia. Unaweza kutangaza bidhaa zako kwa namna tofauti tofauti ili kuweza kuvutia watu kutaka kutumia zaidi bidhaa zako.
- Kutumia Graphics- Graphics zimerahisisha vile ambavyo unaweza kujieleza au kuieleza bidhaa yako. Hivo graphics nzuri ambazo zinaelezea kwa ufupi na urahisi bidhaa zako yaweza kuwa nyenzo rahisi kufikia malengo.
- Kutumia Video fupi - Hapa unaweza kutangaza bishaa au huduma yako kwa kutumia video fupi ambayo inaelezea kinagaubaga kuhusu huduma au bidhaa zako.
Kupata Graphics kwa matangazo yako wasiliana nami kupitia 0628 420 222Nafanya design na kutengeneza logo, poster, covers kwa ajili ya muziki (Mixtape) pia nadesign na kutengeneza matangazo mbali mbali kwa ajili ya biashara, huduma, au kutoa ujumbe kwa jamii.
Wasiliana nami.
Simu: 0628 420 222