Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Blog ni website ambayo inaruhusu kushare taarifa na kuwapa nafasi watembeleaji wako kuweza kutoa maoni yaoo na kuweza kujadili mada ambayo inakuwa inazungumziwa kwa kuweza kuandika comment, pia inawapa nafasi ya kuweza kushare post hizo kwenye mitandao ya kijaii.

MdakiJunior Blog
Nakutengenezea Blog ambayo inaendana na mahitaji yako.
  1. Blog ya Muziki
  2. Blog ya Biashara
  3. Blog ya Habari
  4. Blog ya Hadithi
  5. Na nyinginezo
Pia nitakupa njia nzuri za kuweza kupost na kuvutia watembeleaji wako. na kwa kuongezea nitakupa njia za kuweza kuvutia watembeleaji  na pia nitaiunganisha blog yako na mitandao yako mingine ya kijamii kama vile facebook, instagram, youtube, twitter n.k

Nitakuelekeza namna ya kuandika habari zako au articles. Takufanyia vyote hivo kwa shilingi elfu 20 tu. Na nitakupa sapoti kwa tatizo lolote ambalo litajitokeza kwenye blog yako pamoja na huduma nyingine kibao.

Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222; +255 759 814 824; +255 713 12 44 91
karibu sana.

4 comments:

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib