Amini usiamini hakuna tatizo lenye kukera na kukatisha hamu ya kufanya kazi kwenye computer yako kama pale unapoiona computer yako imeganda katika sehemu moja na haitaki kufanya chochote, yaani mouse imetulia sehemu moja, keyboard nayo hata ubonyeze wapi haileti madhara yoyote. Hapo basi unaamua kufanya jambo la kishujaa na kutafuta kitufe cha kuzima computer yako.
Utailazimisha computer yako kuzima katika utaratibu ambao sio sahihi, hii inaweza saidia kwa wakati huo lakini kujua chanzo cha computer yako kuganda (freeze) ni kitu cha muhimu sana, ili kuepuka tatizo hilo hapo baadae.
Natambua ni kwa kiasi gani jambo hili linaweza kuwa ni lenye kukera, kwani limewahi kunitokea, hivo basi nikaamua kufanya uchunguzi na kutafuta chanzo chake na hata suluhisho ili lisijitokeze tena.
Mambo Yanayopelekea Computer Kuganda (Freeze)
Yafuatayo ni mambo ambayo yanaweza pelekea computer yako kuganda.
1. Computer kupata moto kupita kiasi. Muda mwingine yakupasa kufungua central processing unit (CPU) na kutoa uchafu ulio kwenye feni za kupunguza joto ndani ya computer yako na kwenye motherboard. Uchafu ukijaa kwenye feni zinakuwa hazifanyi kazi na kusababisha joto kwenye computer.
2. Ukubwa wa RAM. Tatizo jingine la kwanini computer zinaganda au kugoma kufanya kazi ni kutokuwa na Random Access Memoty ya kutosha.
3. Matatizo kwenye Hardware. Ikiwa utaongeza hardware yoyote kwenye computer yako mfano: Sound card Video Card au Hardware nyingine inaweza pelekea computer yako kuganda. Kitu cha muhimu kufanya ni kuangalia kama hardware hiyo inaendana na computer yako kama haiendani basi itoe.
5. Kucheza Game. Muda mwingine computer inagoma kwakuwa unkuwa umefungua Game ambalo computer yako inkuwa haijakidhi viwango kuweza kucheza gme hilo hivo kupelekea computer yako kuganda.
NB: Endapo tapata Vyanzo vingine visababishi nitaweka, ila kama unayo sababu nyingine sababishi tafadhali andika kwenye comment apo chini.
Ikiwa umeipenda Post hii tafadhali share na marafiki kwenye facebook au mitandao mingine ya kijamii.
Mawasiliano:

Tip: CPU ni kifaa cha mwanzo kwenye computer yako ambacho kinafanya mchakato wa taarifa zote ndani ya computer. mfano: ufunguapo wimbo kwnye computer taarifa lazima zipelekwe kwanza kwenye CPU kisha ifanye mchakato kwa kutafuta program maalum kuweza kufungua wimbo huo ambao unaweza kuwa ni mp3, mp3, Ogg, WAV n.k
Motherboard ni kifaa ndani ya computer yako (circuit board) ambapo vifaa vingine vya muhimu kama CPU, RAM, USB Ports vinakuwa vimeunganishwa kwa yenyewe.Unaweza kutambua hili pia kwa kuona mabadiliko kwenye jinsi feni zinavozunguuka kwani zinaanza kuzunguuka kwa kasi zaidi kuliko kawaida.
2. Ukubwa wa RAM. Tatizo jingine la kwanini computer zinaganda au kugoma kufanya kazi ni kutokuwa na Random Access Memoty ya kutosha.
Tip: RAM inahifadhi application zote ambazo umezifungua ndani ya computer yako. Mara tu unapofungua application inaenda kuhifadhiwa kwenye RAM, hivo kama RAM ya computer yako ni ndogo inaweza leta matatizo kama haya ya kuganda.RAM zinapatikana madukani unaweza kununua na kuiweka ndani ya computer yako ili kuongeza ufanisi wa computer yako.
![]() |
RAM (Random Access Memory) |
3. Matatizo kwenye Hardware. Ikiwa utaongeza hardware yoyote kwenye computer yako mfano: Sound card Video Card au Hardware nyingine inaweza pelekea computer yako kuganda. Kitu cha muhimu kufanya ni kuangalia kama hardware hiyo inaendana na computer yako kama haiendani basi itoe.
Tip: Hakikisha unapotaka kuweka hardware mpya kwenye computer yako izime kwanza computer yako ili kuepuka matatizo kama haya.
Sound Card ni kifaa ndani ya computer yako ambacho kinaisaidia computer yako kuwa na uwezo wa kuingiza au kutoa audio.
Video Card hii inafanya mchakato wa Graphics kuipunguzia CPU mzigo ili iweze kufanya kazi zake vizuri. Asilimia kubwa ya Graphics zinaweza kuwa OpenGl (Open Graphics Library) au DirectX library.4. Matatizo kwenye Drivers. Yaweza kuwa pia kunatatizo kwenye Drivers ila hukuwahi kutambua, mfano unapo install vifaa kwa ajili ya Printer. Ukipata tatizo la kugoma kwa computer yako jaribu kuona wataalamu ambao wanaweza kusaidia kutatua tatizo hilo.
5. Kucheza Game. Muda mwingine computer inagoma kwakuwa unkuwa umefungua Game ambalo computer yako inkuwa haijakidhi viwango kuweza kucheza gme hilo hivo kupelekea computer yako kuganda.
NB: Endapo tapata Vyanzo vingine visababishi nitaweka, ila kama unayo sababu nyingine sababishi tafadhali andika kwenye comment apo chini.
Ikiwa umeipenda Post hii tafadhali share na marafiki kwenye facebook au mitandao mingine ya kijamii.
Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
Unaweza andika comment kupitia Blogger, Disqus au facebook, chagua njia rahisi ambayo unaweza itumia kuweza kuandika comment yako.
ReplyDeleteSuch mouse producers regularly give a guarantee to three years, and some mouse makers guarantee is just three months. mouse pad factory
ReplyDeleteMimi computer yangu Ina GB 10000 ni Q7 ni kwaajili ya matumizi ya library tu ila inaganda sanaa
ReplyDelete