Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Je unapenda kuimba? Download hii player kwa ajili ya simu za Android, ukiwa na hii application unaweza sikiliza nyimbo huku ukiwa unaona lyrics zake. Pia inakupa uwezo wa kuweza kutambua lyrics kwenye nyimbo ambayo huijui na kukusaidia kuitambua nyimbo hiyo. 

Ukiwa na Musixmatch unaweza kusikiliza nyimbo uipendayo na kwa wakati huo huo unaweza kuwa unaona lyrics zikiwa zinapita kwenye kioo chako. Ni app nzuri ambayo sio yakuikosa kwenye simu yako ya android.

Features
+ Inakusaidia kutambua Lyrics za nyimbo tofauti tofauti.
+ Inakuwezesha ku save lyrics kwa matumizi ya baadae endapo kama hutakuwa na internet.
+ Inakupa uwezo wa kutambua nyimbo ambayo huifahamu na inakupatia jina la nyimbo na lyrics.
+ Inakuonesha Album na taarifa za nyimbo ambayo unaicheza.
+ Inakupa uwezo wa edit nyimbo kwa kuweka picha yako kwenye nyimbo hiyo.
+ Feature hizi na nyingine nyingi unaweza zipata ukidownload hii application.


MusixMatch
Version: 7.0.1
Type: Apk
Size: 13.7 MB

Download



Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib