Unahitaji mafunzo ya Graphics design? ikiwa ni pamoja na maelekezo ya namna ya kuwa designer mzuri na kuweza kutumia tools zako kwa uhakika kutengeneza documents mbali mbali. Basi unaweza ungana nazi katika group letu la whatsapp, mafunzo yanatolwa free of charge yaani bure.
pata mafunzo ya awali na kujiendeleza kuweza kuwa designer mzuri, hapa tutaelekezana jinsi ya kutumia vizuri Adobe illustrator, Adobe Photoshop pamoja na Adobe inDesign.
Graphics Videos
Mawasiliano:
pata mafunzo ya awali na kujiendeleza kuweza kuwa designer mzuri, hapa tutaelekezana jinsi ya kutumia vizuri Adobe illustrator, Adobe Photoshop pamoja na Adobe inDesign.
Tutumie namba yako kupitia namba za simu hapo chini, au ingia kwenye group la computer kwa kubofya link hapo juu kwenye navigation kisha utatuma ujumbe nasi tutakuadd kwenye group la Graphics.Karibu sana na share na wadau wengine post hii ili wanaohitaji mafunzo waweze kujifunza kwa urahisi. Au tembelea youtube kuweza kuona playlist nzima ya mafunzo ya graphics
Graphics Videos
Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
cool
ReplyDelete