MdakiVisual Studio ni mahala pekee ambapo unaweza kupata suluhisho ya mahitaji yako ya Graphics kwa muda mchache na katika ubora wa hali ya juu. Hapa utapata huduma kama vile, design na kutengeneza logo, matangazo ya ukutani (poster), vipeperushi, business cards na mahitaji mengine. Bei ni nafuu na kazi yako inakamilika ndani ya muda mchache.
Huduma Zetu
Huduma Zetu
- Graphic Designing
- Photography
- Video Production
No comments:
Post a Comment