Je, unamiliki biashara au huduma yoyote ambayo inaunganisha watu kwa karibu? Basi nitakupa Faida 5za kwanini ni muhimu kuwa na Website kwa ajili ya kuendesha na kusimamia shughuli zako.
Katika ulimwengu wa sasa kuunganisha watu kupitia website ni rahisi zaidi ukilinganisha na zama za kale ambapo sayansi na Teknolojia havikuwa na nafasi kubwa kulinganisha na sasa.
Wapo maprofessional kibao ambao kwa uhakika kazi ya kutengeneza website wako vizuri na miongoni mwao ni pamoja na Kelvin Makupa nami nikiwemo. Kwa website ya kawaida ya biashara ambayo haina mambo mengi zipo njia nyingi za kutengeneza, Kama huzifahamu njia rahisi ni kutumia blogger au kutumia wordpess Ila yaweza kuwa ni kazi ngumu kama huna ujuzi wa namna ya kutengeneza. Lengo la makala hii ni kukupa faida za kwa nini ni muhimu kuwa na website hivo taenda moja kwa moja kwenye point.
Nina Biashara Ndogo Kwa Nini ni muhimu kuwa na Website?
Hilo ni swali la msingi na lawezaonekana kutokuwa na msingi kwa mtu ambaye anamiliki biashara ndogo tu kama ile ya kuuza duka.
Zifahamu Faida hizo.
Kwanini nawe usiwe na website yako sasa. Anza sasa hujachelewa.
Katika ulimwengu wa sasa kuunganisha watu kupitia website ni rahisi zaidi ukilinganisha na zama za kale ambapo sayansi na Teknolojia havikuwa na nafasi kubwa kulinganisha na sasa.
![]() |
MdakiJunior - Umuhimu wa Website |
Wapo maprofessional kibao ambao kwa uhakika kazi ya kutengeneza website wako vizuri na miongoni mwao ni pamoja na Kelvin Makupa nami nikiwemo. Kwa website ya kawaida ya biashara ambayo haina mambo mengi zipo njia nyingi za kutengeneza, Kama huzifahamu njia rahisi ni kutumia blogger au kutumia wordpess Ila yaweza kuwa ni kazi ngumu kama huna ujuzi wa namna ya kutengeneza. Lengo la makala hii ni kukupa faida za kwa nini ni muhimu kuwa na website hivo taenda moja kwa moja kwenye point.
Nina Biashara Ndogo Kwa Nini ni muhimu kuwa na Website?
Hilo ni swali la msingi na lawezaonekana kutokuwa na msingi kwa mtu ambaye anamiliki biashara ndogo tu kama ile ya kuuza duka.
Zifahamu Faida hizo.
![]() |
MdakiJunior - Duka La Nguo |
- Kuitangaza Biashara au Huduma yako. Unapokuwa na website inakuwa rahisi sana kutangaza huduma yako kuweza kuwafikia watu mbalimbali, wale walio katika eneo lako na wale wa mbali na wewe. Hii inasaidia hata mtu yupo mbali labda katika mkoa mwingine basi akitembelea mkoani kwako ajue pa kuanzia.
- Kuvutia wateja na watumiaji wa huduma. Unapokuwa,, huenda unayo biashara ya duka na katika duka lako hakuna bidhaa mteja anaweza ikosa, hivyo kuweza kuwafikiwa wateja wengi zaidi na kutangaza biashara yako kufikia watu wengi zaidi basi ukiwa na website hata watu walio mbali na mkoa wako wanaweza fata huduma kwako.
- Kuwa karibu na wateja au watumiaji wa huduma zako. Unapokuwa na website inakuwa rahisi kwa watu kuweza kupata huduma zako na kujua kama umeboresha huduma au umeleta bidhaa mpya. Pia ni njia rahisi na ya uhakika kwa mteja kuweza kuamini kuwa huduma ni za kweli na zinapatkikana.
- Urahisi wa kutoa ofa kwa watumiaji wa huduma zako. Unapokuwa na website unaweza toa ofa kwa watumiaji wako na ikawa rahisi kwa wao kuweza kuzipata.
- Urahisi wa kushare na watu wengine katika mitandao ya kijamii. Website yako ni utambulisho wako na unapokuwa na website unaweza kushare kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kwa urahisi na wao wanaweza kushare kwa watu wengine kwa urahisi na pia inasaidia katika kutangaza na kukuza biashara au huduma zako.
Zipo faida kem kem na ili kukuza brand yako ni vema ukawa na Website.
Mifano mizuri ni kama hii ifuatayo:
1. Keko Modern Furniture Dar Es Salaam
![]() |
MdakiJunior - Umuhimu Wa Website |
2. New Dodoma Hotel Dodoma
![]() |
MdakiJunior - Umuhimu wa Website |
3. Mangi shop n.k
![]() |
MdakiJunior - Mangi shop |
Kwanini nawe usiwe na website yako sasa. Anza sasa hujachelewa.
MUHIMU:
No comments:
Post a Comment