Matangazo ya graphics yanakupa urahisi wa kutangaza biashara zako na kufikia watu wengi zaidi. Ikiwa unahitaji kupata tangazo ili kuweza kusambaza bidhaa zako kwenye mitandao ya kijamii, kama vile
Facebook,
Instagram,
Twitter,
Snapchat au kungineko. Basi umekuja katika eneo sahihi.
Natengeneza matangazo mbali mbali ya graphics kwa vipindi vya Redio au Televisheni. Pia natengeneza poster na flyer kwa ajili ya shughuli mbali mbali kama vile seminar za kidini au kijamii. Mikutano, cover za nyimbo au album za muziki. Kadi za Birthday au poster kwa ajili ya kutoa ujumbe au tangazo kwa jamii.
 |
Mdakijunior - Matangazo ya graphics |
Bei ni nafuu karibu sana. Wasiliana nami kwa maelekezo na taarifa zaidi. Pia napatikana katika mitandao ya kijamii kama
Facebook,
Instagram,
Youtube na
Twitter.
Ni Matangazo Gani Unatengeneza?
Ni moja ya swali ambalo waweza kujiuliza, ila kwa kifupi natengeneza matangazo aina zote, yale ya kuchapisha (print) na yale kwa ajili ya kushare kweny mitandao ya kijamii (Square). Pia natengeneza Animated Banner (Matangazo kwa ajili ya kuweka kwenye website).
Kwa ufupi natengeneza Graphics kwa matumizi tofauti tofauti.
- Business Cards
- Poster (Matangazo ya ukutani)
- Vipeperushi
- Flyers (Cover kwa ajili ya Muziki)
- Animated Banner (Matangazo kwa ajili ya kuweka kwenye website)
- Kadi za Birthday
Matangazo Yapi Umewahi Kutengeneza?
Bila shaka ungependa kujua ni matangazo yapi nimetengeneza hapo nyuma, ila hadi sasa nimetengeneza matangazo mengi sana na baadhi yake ni haya hapa chini.
 |
Catalytic Outreach Seminar - 2017 |
 |
Brother Nick - 2018 |
 |
Southern Highlands - 2018 |
 |
Charity Service - 2017 |
 |
Mfano wa Tangazo la Party |
 |
Muonekano wa tangazo la Bidhaa |
Mawasiliano:
Phone: +255 628 420 222