Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Kuweka Password Kwenye Computer


Kuweka Password kwenye computer yako ni kitu cha msingi sana kama unajali usalama wa data zako na application ambzao umeweka. Si vema kuacha computer yako ikiwa haina password labda kama huna data za muhimu za kulinda.
image
MdakiJunior - Kuweka Password kwenye computer
Nawezaje kuweka Password Kwenye computer yangu?
Kuweza kuweka Password kwenye computer yako fanya yafuatayo.

  1. Fungua Control Panel - Kuipata control panel kama unatumia Windowa7, bofya kitufe cha window kwenye computer yako au kwenye desktop.
    image
    MdakiJunior - Kuweka Password Fungua Control Panel
  2. Baada ya hapo nenda kwenye User Account and Family Safety 
    image
    MdakiJunior - Kuweka Password kwenye computer
  3. Baada ya hapo nenda kwenye User Accounts
    image
    MdakiJunior - kuweka password kwenye computer
  4. Baada ya hapo unaweza anza fanya mabadiliko kwenye computer yako, kama vile kuweka Password na kubadili picha kwenye PC yako.

    image
    MdakiJunior - Kuweka password jaza taarifa zote hapo juu
    image
    MdakiJunior - Kuweka password kwenye computer Hakikisha account yako ni administrator
Kuweza kujua kama umeweka password utalogoff na kuingiza password zako.
image
MdakiJunior - LogOff au Lock kutest password zako

Au tumia Shortcut "CTRL + Alt + Delete" Kisha chagua kile unataka kufanya, kulog off au kubadili password.

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib