Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Adobe Photoshop ni software iliyo tengenezwa na Kampuni ya Adobe. Ukiwa na adobe unaweza kutengeneza contents mbali mbali za multimedia kama vile kuedit picha, kutengeneza Poster (Matangazo ya ukutani), Logo katuni na hata animation mfano animated banner.
Kwa kifupi photoshop ni program ya muhimu ambayo hauhitaji kuikosa kwenye computer yako, kwani ina kupa wigo mpana wa kufanya picha zako kuwa kama vile utakavyo wewe, kwani unaweza badili hata mazingira ya pale umepiga picha na kuweka mazingira mengine tofauti kabisa na yale ya mwanzo.
Kama bado huna Adobe kwenye computer yako bonyeza kitufe cha download hapo chini kuweza kuipata. Hii ipo tayari haina haja ya kucrack au kuweka keys, Download na tumia kwenye computer yako bila wasi wasi.

Download

Size = 227 MB

Share na rafiki ambaye unaona anahitaji kuwa na Photoshop kwenye computer.
Kwa tatizo lolote niandikie kwenye comment hapo chini.


Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222

2 comments:

  1. Replies
    1. Thank you Mr Elia, I really appreciate your support. You can also send me an Email about any topic you would like to see on my blog.

      Delete

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib