Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Matangazo yanakupa urahisi wa kutangaza biashara zako na kufikia watu wengi zaidi. Ikiwa unahitaji kupata tangazo ili kuweza kusambaza bidhaa zako au kuzitangaza kwenye mitandao ya kijamii, kama vile FacebookInstagramTwitterSnapchat au kungineko. Basi umekuja katika eneo sahihi.
Wasiliana nami kwa namba: 0628 420 222
Natengeneza matangazo mbali mbali ya graphics kwa vipindi vya Redio au Televisheni. Pia natengeneza poster na flyer kwa ajili ya shughuli mbali mbali kama vile seminar za kidini au kijamii. Mikutano, cover za nyimbo au album za muziki. Kadi za Birthday au poster kwa ajili ya kutoa ujumbe au tangazo kwa jamii.
Muonekano wa tangazo la Bidhaa
Bei ni nafuu karibu sana. Wasiliana nami kwa maelekezo na taarifa zaidi. Pia napatikana katika mitandao ya kijamii kama FacebookInstagramYoutube na Twitter.

Ni Matangazo Gani Unatengeneza?
Ni moja ya swali ambalo waweza kujiuliza, ila kwa kifupi natengeneza matangazo aina zote, yale ya kuchapisha (print) na yale kwa ajili ya kushare kweny mitandao ya kijamii (Square). Pia natengeneza Animated  Banner (Matangazo kwa ajili ya kuweka kwenye website).
Kwa ufupi natengeneza Graphics kwa matumizi tofauti tofauti.
  1. Business Cards
  2. Poster (Matangazo ya ukutani)
  3. Vipeperushi
  4. Flyers (Cover kwa ajili ya Muziki)
  5. Animated Banner (Matangazo kwa ajili ya kuweka kwenye website)
  6. Kadi za Birthday
Matangazo Yapi Umewahi Kutengeneza?
Bila shaka ungependa kujua ni matangazo yapi nimetengeneza hapo nyuma, ila hadi sasa nimetengeneza matangazo mengi sana na baadhi yake ni haya hapa chini.

Catalytic Outreach Seminar - 2017

Brother Nick - 2018

Southern Highlands - 2018

Charity Service - 2017

Mfano wa Tangazo la Party

Karibu sana

Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib