Shortcut ni neno la Kingereza ambalo kwa Kiswahili ninamaana ya "Njia ya mkato" hivo njia ya mkato ni njia rahisi tofauti na ile ambayo imezoeleka kila siku. Bila shaka ushawahi kutumia sana neno hili katika maisha yako ya kila siku.
Vivo hivyo, hata katika ulimwengu wa computer neno Shortcut linamaana sana na matumizi yake ni makubwa, kwani kila siku tunatumia shortcut ili kuweza kurahisisha kazi setu za kila siku.
Shortcut za muhimu kwenye Computer Huenda kukuzijua.
Jifunze na kuwa na uwezo wa kuzitumia mara kwa mara ili kurahisisha kazi zako za kila siku.
1. + - kujua properties za folder au file husika ukiwa kwenye desktop au directory nyingine ndani ya computer yako.
2. + + - Fungua Task Manager.
3. + - Funga Task ambayo umeifungua kwa wakati huo.
4. Au - Tembelea page ndani ya document au Desktop kwa urahisi.
5. + + - Inaonesha process ambazo umezifungua kwa wakati huo, pia unaweza kuifungua process husika kwa kubofya Enter.
6. + - Fungua process ambazo umezifungua kwenye computer yako na kukusaidia kufungua process husika, unaweza kutembelea kwa process zote kwa wakati mmoja.
7. + + - Inakupa shortcut za muhimu kama vile,
8. + - Minimize Program Zote ambazo umezifungua.
Pia unaweza kutumia Shortcut hizi, kwa kubofya kitufe cha icon ya Windows pamoja na kitufe chochote cha mshale kuweza kuminimize kushoto, kulia au chini kabisa.
9. + - Lock Computer yako.
10. + - Shortcut ya kufungua MyComputer au File Explorer.
11. + Arrows / / / - Shortcut kukuwezesha kutembelea sehemu mbali mbali kwenye computer yako bila kuwa na mouse.
12. + - Inakupa shortcut za muhimu kwenye computer yako. Kama vile,
13. + au Tumia - Shortcut kutafuta kitu chochote kwenye computer yako au kwenye internet.
14. + - Zunguuka kwenye program zako ambazo umeziweka kwenye Task bar
15. + - Fungua System menu ya program husika, hapa unaweza fanya vitu vifuatavyo.
16. + + - Fungua folder jipya kwenye directory ambayo unaifanyia kazi kwa wakati huo. Mfano: ukiwa upo kwenye desktop ukabofya shortcut hiyo, basi, utafungua folder kwenye Desktop.
17. + - Futa file au folder bila ya kupeleka kwenye recyclebin. Hii ni rahisi kama hauhitaki kabisa file au hilo folder kwani mda mwingine inachosha kufuta mara mbili mbili.
18. + - Inatengeneza copy ya process ambayo umeifungua kwa wakati huo. Mfano: umefungua folder za muziki, ukibofya hiyo shortcut basi itafungua tena folder hilo la muziki. hii ni nzuri kama utahitaki kucopy file moja kwenye folder jingine kwa kutembelea folder hizo mbili kwa kutumia shortcut ya +
19. + - Kupiga screenshot ya program ambayo inaonekana kwenye screen kwa wakati huo.
20. + - Inakusaidia kufungua settings mbalimbali za system ndani ya computer yako.
ShortCut Nyingine Za Muhimu Za Kila Siku.
Hizi ni shortcut ambazo tunazitumia kila siku kwenye matumizi yetu ya computer, hivo ni muhimu kuzijua ili kufanya kazi zako kwa urahisi na kitaalamu zaidi.
Mawasiliano:
Vivo hivyo, hata katika ulimwengu wa computer neno Shortcut linamaana sana na matumizi yake ni makubwa, kwani kila siku tunatumia shortcut ili kuweza kurahisisha kazi setu za kila siku.
Shortcut za muhimu kwenye Computer Huenda kukuzijua.
Jifunze na kuwa na uwezo wa kuzitumia mara kwa mara ili kurahisisha kazi zako za kila siku.
1. + - kujua properties za folder au file husika ukiwa kwenye desktop au directory nyingine ndani ya computer yako.
2. + + - Fungua Task Manager.
![]() |
Task Manager |
3. + - Funga Task ambayo umeifungua kwa wakati huo.
4. Au - Tembelea page ndani ya document au Desktop kwa urahisi.
5. + + - Inaonesha process ambazo umezifungua kwa wakati huo, pia unaweza kuifungua process husika kwa kubofya Enter.
![]() |
CTRL + ALT + Tab - Recent Apps |
6. + - Fungua process ambazo umezifungua kwenye computer yako na kukusaidia kufungua process husika, unaweza kutembelea kwa process zote kwa wakati mmoja.
Tip: Shikilia kitufe cha huku ukiwa unabofya kitufe cha Tab . Achia vitufe vyote kuchagua Process husika ambayo umeichagua.
7. + + - Inakupa shortcut za muhimu kama vile,
- Lock Computer yako (Kuifunga computer yako kwa password kama umeweka)
- Switch User (Kubadili user wa computer yako mfano: Guest )
- Badili Password (Kama computer yako haikuwa na passord hapo nyumasehemu iliyoandkikwa old password usiweke kitu ila jaza sehemu ya new password kisha irudie tena na bofya Enter.)
- Task Manager (Inakupa uwezo wa kuangalia process au programs ambazo umezifungua kwa wakati huo. (Tumia pia Ctrl + Shift + Esc))
- Power Off (Sehemu ya Kuzima Computer yako)
8. + - Minimize Program Zote ambazo umezifungua.
Pia unaweza kutumia Shortcut hizi, kwa kubofya kitufe cha icon ya Windows pamoja na kitufe chochote cha mshale kuweza kuminimize kushoto, kulia au chini kabisa.
9. + - Lock Computer yako.
10. + - Shortcut ya kufungua MyComputer au File Explorer.
![]() |
Shortcut Kufungua MyComputer |
11. + Arrows / / / - Shortcut kukuwezesha kutembelea sehemu mbali mbali kwenye computer yako bila kuwa na mouse.
Tip: Kufungu Program husika Bofya Enter.
12. + - Inakupa shortcut za muhimu kwenye computer yako. Kama vile,
- Control Panel
- Personalization (Kufanya Setting za muhimu kama kubadili Desktop Background na kubadili resolution ya computer yako)
- Pc info (Inakupa taarifa za muhimu kuhusu Computer yako kama RAM, Processor na Operating System unayoitumia)
- Help (Kupata msaada juu ya tatizo kwenye computer yako)
![]() |
Windows Key + i |
13. + au Tumia - Shortcut kutafuta kitu chochote kwenye computer yako au kwenye internet.
![]() |
Windows Key + S au Tumia F3 - Search file au internet |
14. + - Zunguuka kwenye program zako ambazo umeziweka kwenye Task bar
Tip: Ukifika kwenye program hisika bofya Enter kuifungua.
![]() |
Windows Key + T - Zunguuka kwenye program zako zilizopo kwenye Taskbar |
15. + - Fungua System menu ya program husika, hapa unaweza fanya vitu vifuatavyo.
- Restore
- Move
- Minimize
Itategemea wewe umefungua program gani kwa wakati huo.
17. + - Futa file au folder bila ya kupeleka kwenye recyclebin. Hii ni rahisi kama hauhitaki kabisa file au hilo folder kwani mda mwingine inachosha kufuta mara mbili mbili.
![]() |
Futa Bila kupeleka kwenye recyclebin |
18. + - Inatengeneza copy ya process ambayo umeifungua kwa wakati huo. Mfano: umefungua folder za muziki, ukibofya hiyo shortcut basi itafungua tena folder hilo la muziki. hii ni nzuri kama utahitaki kucopy file moja kwenye folder jingine kwa kutembelea folder hizo mbili kwa kutumia shortcut ya +
![]() |
Copy Ya Directory ulioifungua |
19. + - Kupiga screenshot ya program ambayo inaonekana kwenye screen kwa wakati huo.
Tip: Bofya hiyo shortcut kisha fungua progam ya kuedit picha Paint. Baada ya kapo paste kwa kubofya CTRL + V. Kisha save screenshop yako katika format ambayo unahitaji.
20. + - Inakusaidia kufungua settings mbalimbali za system ndani ya computer yako.
![]() |
Windows Key + X - Computer System Menu |
ShortCut Nyingine Za Muhimu Za Kila Siku.
Hizi ni shortcut ambazo tunazitumia kila siku kwenye matumizi yetu ya computer, hivo ni muhimu kuzijua ili kufanya kazi zako kwa urahisi na kitaalamu zaidi.
- CTRL + A (Select All) - Inakupa nafasi ya kuselect kwa pamoja. Mfano: unataka kucopy document nzima tumia hii shortcut.
- CTRL + C (Copy) - Inakupa uwezo wa kucopy ambapo kumekwasha select hapo mwanzo.
- CTRL + V (Paste) - Shortcut ya paste kile ambacho ume copy hapo mwanzo.
- CTRL + X (Cut) - Inakupa nafasi nakuhamisha vitu ndani ya computer yako kutoka kwenye directory moja kwenda nyingine au file moja kwenda jingine.
- CTRL + Z (Undo) - shortcut kurudisha nyuma kwa tendo ambalo umelifanya kimakosa.
- CTRL Y (Redo) - Kurudi hatua ile ya mwanzo ambayo uli undo.
- CTRL + S (Save) - Shortcut save document yako ambayo ulikuwa unaifanyia kazi.
- CTRL + MouseClick (Select) - Shortcut kufanya chaguzi moja moja.
- Shift + Arrow -> up, left, down, right (ukiwa kwenye document) - Shortcut kufanya chaguzi bila kutumia mouse
- Esc - Inakusaidia kufunga window ambayo umeifungua juu ndani ya program husika.
Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
Ahsante elimu niliyopata mungu akuzidishie
ReplyDeleteKwakwel itoxhe kusema🙏
ReplyDelete