Bingo..! bila shaka upo google muda huu na unatafuta namna ya kutoa password kwenye simu ambayo huenda ukawa umesahau password yake haijalishi ni kwa bahati mbaya au makusudi. Ni kweli password zinasahaulika na mara nyingi inatokea pale unapokaa kwa muda mrefu bila kutumia simu yako. Basi usiwe na wasi wasi simu yako itafunguka na utaweza kuitumia tena, haina haja kwenda kuflash.
Itakuwa ni ajabu sana na kitu kisichokubalika kwa tafiti zilizofanywa kwa binadamu wa sasa kuweza kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mawasiliano yaani simu. Kitu hiki huenda wanaokiweza hadi sasa ni sokwe tu ambao kwao mstuni teknolojia bado ni tete.
Mambo ya kuzingatia
Tukiacha bla bla,,, ni vipi naweza kutoa password
Ni swali ambalo utakua unajiuliza hadi sasa, amini usiamini password zinatoka na yakupasa kufanya yafuatayo.
Kwa watumiaji wa Tecno
1. Zima simu yako tumia kitufe cha kuzima simu na izime kabisa.
2. Baada ya kuwa umeizima iwashe na fanya yafuatayo kabla haijawaka kabisa.
3. Utaona options tumia Volume up au Volume Down kuweza kwenda juu au chini, tumia Kitufe cha kuzimia simu kuweza kuchagua.
4. Chugua sehemu imeandikwa Factory Reset au Wipe data
5. Baada ya hapo simu process ya kufuta data zote itafanyika na password itakua imetoka. Na simu yako itakuwa kama mpya.
Kwa watumiaji wa Simu Nyingine
Kama unatumia simu nyingine fanya haya.
1. Zima simu yako tumia kitufe cha kuzima simu na izime kabisa.
2. Baada ya kuwa umeizima iwashe na fanya yafuatayo kabla haijawaka kabisa.
3. Agalia screeen inayojitokeza, kama hakutakuwa na screen rudia hatua namba 1 na namba 2 hapo juu.
4. tumia Volume up au Volume Down kuweza kwenda juu au chini, tumia Kitufe cha kuzimia simu kuweza kuchagua.
5. Chugua sehemu imeandikwa Factory Reset au Wipe data au Delete all user data au sentesi nyingine kama hiyo.
MUHIMU!! Hadi hapo nina uhakika umefanikiwa kufanya hivo. Niandikie comment hapo chini kama utapata tatizo lolote, pia share kwa rafiki zako waweze kupata ujuzi huu.
Mawasiliano:
Itakuwa ni ajabu sana na kitu kisichokubalika kwa tafiti zilizofanywa kwa binadamu wa sasa kuweza kukaa muda mrefu bila ya kuwa na mawasiliano yaani simu. Kitu hiki huenda wanaokiweza hadi sasa ni sokwe tu ambao kwao mstuni teknolojia bado ni tete.
Mambo ya kuzingatia
Onyo! Hakikisha simu yako ina chaji ya kutosha. La sivo ichajishe hadi ijae. Process hii pia itafuta data zote kwenye simu yako hivo basi hakikisha umesave data zako za muhimu kama picha, video na contacts kwenye computer au kwenye simu nyingine. Usitoe battery wakati hatua inaendelea.
Tukiacha bla bla,,, ni vipi naweza kutoa password
Ni swali ambalo utakua unajiuliza hadi sasa, amini usiamini password zinatoka na yakupasa kufanya yafuatayo.
Kwa watumiaji wa Tecno
1. Zima simu yako tumia kitufe cha kuzima simu na izime kabisa.
2. Baada ya kuwa umeizima iwashe na fanya yafuatayo kabla haijawaka kabisa.
Bonyeza kitufe cha kuzima au kuwasha kisha kitufe cha kupunguzia sauti kwa pamoja. Hadi pale utapoona screen maalum imetokea.
![]() |
Baada ya kuwa umeizima ikiwa inawaka bonyeza kitufe chakuzima na kupunguza sauti. |
![]() |
Tumia kitufe cha sauti kuongeza na kupunguza kushuka chini au kupanda juu na kitufe cha kuzima kufanya chaguzi. |
5. Baada ya hapo simu process ya kufuta data zote itafanyika na password itakua imetoka. Na simu yako itakuwa kama mpya.
Kwa watumiaji wa Simu Nyingine
Kama unatumia simu nyingine fanya haya.
1. Zima simu yako tumia kitufe cha kuzima simu na izime kabisa.
2. Baada ya kuwa umeizima iwashe na fanya yafuatayo kabla haijawaka kabisa.
Bonyeza kitufe cha kuzima au kuwasha kitufe cha home na kile cha kuongezea sauti kwa pamoja hadi pale utapoona screen maalum imetokea.Kama hakuna kitufe cha home kwenye simu yako basi tumia hizo mbili.
3. Agalia screeen inayojitokeza, kama hakutakuwa na screen rudia hatua namba 1 na namba 2 hapo juu.
4. tumia Volume up au Volume Down kuweza kwenda juu au chini, tumia Kitufe cha kuzimia simu kuweza kuchagua.
5. Chugua sehemu imeandikwa Factory Reset au Wipe data au Delete all user data au sentesi nyingine kama hiyo.
MUHIMU!! Hadi hapo nina uhakika umefanikiwa kufanya hivo. Niandikie comment hapo chini kama utapata tatizo lolote, pia share kwa rafiki zako waweze kupata ujuzi huu.
Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
Mbona Mimi nimejaribu kwenye TECNO S2 lakini imeshindikana na imeleta FASTBOOT ,Me sijajua shida nini?
ReplyDeleteHata mm
DeleteNokia
DeleteDaudi
ReplyDeleteSimu yang haisapoti kwenye computer inapelek chanji tu shida ni nin
ReplyDeleteBigup broo asante sana imekubali ungeweka kapu la sadaka kabisa tutoe sadaka tuliosaidika
ReplyDeleteBro kwema
Deletecamon 6
DeleteMbona cm inazima na kuwaka haileti hayo mmaneno
DeleteMbona mimi najaribu inashundikana au paka utoe laini
Deletekaka me mwenyewe nimejaribu Imegoma spark 2 inaleta alama ya chaji alaf inaandika fast boost nikijarib kingine inakua inazima zima
DeleteMbona ina leta fastboot tu
ReplyDeleteDaa mimi nimeweza ahsante sana
ReplyDeleteSimi yangu mm inaweka namba sita je nafanyaj
ReplyDeleteSimu yangu imegoma yani inaandika tekno alaf inazima then inawaka tena
ReplyDeleteMm nimejaribu kwa cm njia zote lkn njia y pili imenipa muongoz n nikafunguka lkn bado haijakubali ...cm yangu ni ARROWS
ReplyDeleteMe nimeshndwa kwa vivo
ReplyDeleteKwa Nokia za batman inakuwaje
ReplyDeleteMbona mm umegom nifanyej
ReplyDeleteMm imegoma ni Aina ya vivo haifunguki nimesahau Pn nimepitiwa njia zote
ReplyDeleteMm ni oppo
ReplyDeletenataka kutumia pc kuifungua
ReplyDeleteImemaliza lakini unataka niweke email na Mimi nimesahau nifanyeje
ReplyDeleteMi nahitaji kuhamisha picha na password nimesahau nifanyaje
ReplyDeleteJmani mm nimesahau paswd nimefanya kama I navyoelekeza lakini inaandika infix na kuzima Nisaidie
ReplyDeleteKwa Nokia mbona inakataa
ReplyDeleteKaka mim yangu imekataa ni oppo
ReplyDeleteeee bro Kwa iPhone inakubali kweli mana Nina mmashaka
ReplyDeleteMbna mwisho inataka niingize previous password na sikumbuki
ReplyDeleteMi nimefanya kama alivyoelekeza kwa Infinix smart8 ila sijafanikiwa nisaidie
ReplyDeleteMkuu nimefika Hadi ktk maandishi yaliyo_andikwa" wipe data/factory reset" baada ya hapo ndo sijui nifanyaje au una_shusha Tu Hadi hapo alaf unaacha unaendelea yenyew?msaada mkuu
ReplyDeleteMimi nmejalibu inaleta machagulio matatu ,recovery mode ,fast boot ,Normal boot apo naomba unielekeze mana nmexhindwa
ReplyDeleteSimu yangu oppo imegoma mpka leo kutoka ukitada kuitoa inafika wakata screen aitach
ReplyDeleteMbna kweny oppo inadai passcode
ReplyDeleteNimejaribu kwenye Huawei imekataa shida ni nini
ReplyDeleteOky sawa
ReplyDeleteMbona SM yangu imekata kuleta hayo maandsh ni infinx
ReplyDeleteCm Tecno smat Imel izo674899306634357 nimesahau passwerd
ReplyDeleteMbona nimejaribu kwenye cm ya nokia aileti Reset kama hizo imei yake ni 351345007767324
ReplyDeleteMimi imejaribu kaka lakini bado inadai paswed ya zamani kaka nisaidie
ReplyDelete...nimefanya hvyo lakn inaitaj imail.au password Tena ya zaman
ReplyDeleteMM NIMEJARIBU SIM YANGU NDO KWANZA INAWAKA NA KUZIMA NA MACHAGUO HAKUNA HATA MOJA VIP NIFANYEJE MSAADA BROO
ReplyDelete