Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Katika karne hii ambapo sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa,  hakuna asiefahamu kuhusu WhatsApp. Hapa nimeelezea kwa undani namna gani unaweza tumia account mbili za whatsapp kwenye simu moja.

Kwa ufupi kama hufahamu WhatsApp, hii ni Teknolojia mpya ya mawasiliano kwa kutumia internet ambapo unakuwa na uwezo wa kutuma ujumbe (message) na kupiga simu (voice au video) kwa mtu mwingine ambae nae pia ana WhatsApp.

WhatsApp inapatikana kwenye Playstore ambapo unaweza ipakua bila malipo yoyote. Katika makala hii nimeweza kuzitofautisha kati ya WhatsApp GB na WhatsApp ya kawaida

Kwa kawaida ukiwa na WhatsApp ya kawaida huwezi kutumia WhatsApp nyingine, hivo inawapa tabu na shida wale ambao wana namba mbili au simu zao zina uwezo wa laini mbili.

Whatsapp GB au WhatsApp plus, ni toleo jipya la whatsapp ambalo limetengenezwa kwa lengo la kuwawezesha watu wenye namba mbili (Mfano namba ya kazini na ile ya mkononi) kuwawezesha kutumia WhatsApp account zote mbili kwa wakati mmoja kwa kutumia simu moja (Smartphone).

Mdaki Junior - WhatsApp GB

Pia nimekuwekea link unaweza Download Whatsapp Gb hapa  ðŸ‘‰ðŸ‘‰ Download WhatsApp GB
Version: 5. 8
Size: 35 Mb


Mdaki Junior - WhatsApp Kawaida

Kupata Whatsapp ya kawaida tembelea App store au pakua hapa 👉👉  Download WhatsApp ya Kawaida


Tofauti kati ya whatsapp GB na ile ya kawaida.

WhatsApp GB WhatsApp Kawaida
1. Ni whatsapp ya ziada baada ya kuweka whatsapp ya kawaida. 1. Ni whatsapp original ambayo ndio ya kwanza kuanzishwa.
2. Inakupa uwanda mpana wa kufanya kila ukitakacho. Mfano kuficha watu wasione kama umesoma meseji ambazo umetumiwa. 2. Hii haikupi uwanda wa kutosha kwani inachofanya ni kuficha tu baadhi ya vitu kwenye account yako.
3. Ukiwa na Whatsapp GB unaweza kubadili themes na muonekano wa tofauti kabisa wa whatsapp yako. 3. Hii haikupi nafani ya kubadili themes na vitu vingi.
4. Hii inakupa nafasi ya kudownload status za watu bila wao kujua. Hivo hakuna tena kusema nirushie hiyo. 4. Hauwezi kudownload status za watu ukiwa unatumia whatsapp hii.
5. Ukiwa kwenye group unaweza kuona kila member wa group ametuma meseji ngapi kuanzia mwanzo wa group. 5. Huwezi fanya kitu kama hicho kwa Whatsapp hii.
6. Una uwezo wa kufanya setting ikuoneshe ni nani miongoni mwa rafiki zako yuko online. 6. Ni kitu ambacho hakipo labda kwa hapo baadaye.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib