Je unajua kama unaweza kuchaji simu kwa betry za kawaida? Hili linawezekana, hakuna uchawi wala mazingaombwe, ni kufahamu tu kuwa unahitaji voltage ngapi kuweza kuchaji simu yako. Takupa njia rahisi za kuweza kufanya hivo.
Mahitaji
1. Betry tatu ndogo za kawaida mpya za volt 1.5.
2. USB cables mbili kwa ajili ya kuchajishia na kutengeneza sakiti (circuit).
3. Sehemu ya kuwekea betry zako.
4. Gundi kwa ajili ya kuunganishia.
5. Mkasi au kiwembe kwa ajili ya kukatia waya.
6. Simu kwa ajili ya kufanyia majaribio.
Video Kuchaji Simu kwa Bettery
No comments:
Post a Comment