Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Natengeneza poster kwa ajili ya matangazo mbali mbali kama vile seminar ziwe za kidini au zile za kijamii. Mikutano au sherehe za aina zote Ni muhimu sana kutumia matangazo katika kufikisha ujumbe wako kwa walengwa. Nami ndomana nakupa huduma hii kwa bei poa popote ulipo.
Nakutengenezea katika ubora wa juu na kwa bei poa. Karibu sana tufanye kazi.

Jinsi ya kufanya.
1. Utanitumia taarifa muhimu za tukio lako, mfano Seminarmkutano au sherehe nyinginezo kwa njia ya Whatsapp au email.
2. Takutengenezea kulingana na mahitaji yako.
3. Tatumia njia hiyo hiyo kukurudishia huduma baada ya kukamilika.
Karibu sana.

Na hizi ni baadhi ya kazi zangu.
1. Poster za kawaida kwa Biashara.
Poster - Computer Solution

2. Postery  za kawaida za Matamasha ya Muziki au Club
Poster - Club

3. Poster kwa ajili ya Kutangaza Biashara na Huduma mbali mbali.
Poster - Computer


4. Poster Nyinginezo.


Kwa dizaini kama hizo na nyingine nyingi, nicheki Mtu wangu tufanye kazi.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib