Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Jinsi ya kuweka effect kwenye maneno kwenye Photoshop


Kama ndio kwanza unaanza kujifunza photoshop basi hatua hii inayohusu text ni muhimu sana kuipitia, kwa maana hiyo ni muhimu kuelewa ili kuweza kuendelea na hatua nyingi za kudesign vitu vigumu.

image


Nawezaje kuweka effect
Kwenye screen yako ukiwa umefungua Photoshop baada ya kuwa umeandika text zako. Kwa upande wa kulia chini kabisa ipo panel kwa ajili ya kuweka effect kwenye maneno "Layer Style". Bofya hiyo kuweka effect, tazama picha hapo chini.
image


MdakiJunior - Itaonekana hivi baada ya kuifungua.

Tazama video hii kuweza kupata maujuzi zaidi.

Tafadhali naomba share na marafiki nao wapate maujuzi zaidi.

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib