Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Unahitaji kujifunza graphics? Hujachelewa nimeandaa video fupi ambazo zitakuongoza katika safari yako ya kujifunza graphics. Haihitaji nguvu sana kujifunza ila umakini na kupata muda wa kutosha kutakupa nafasi nzuri ya kufikia malengo.
image
MdakiJunior - Kujifunza Graphics design
Takuwa nikiweka video youtube za jinsi ya kudesign na kutengeneza graphics. Hivo subscribe kwenye channel yangu ya youtube Mdaki Junior kuweza kupata kila video mpya tazokuwa nikiziweka.

Angalia sehemu ya kwanza hapa, muonekano wa Photoshop.

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib