Logo ni utambulisho ambao unaweza kusimama badala ya jina lako. Hivo kwa biashara au huduma, unahitaji logo yako mwenyewe ambayo haifanani na mtu mwingine. Kufanya hivo itakuwa rahisi kwa mtu kufikiria jina lako mahala popote aonapo logo yako.
Nawezaje Kupata Logo Yangu
Unaweza kupata logo yako kwa bei poa. Wasiliana nami niweze ku design na kukutengenezea logo yako kwa bei poa. Natengeneza professional logo kwa ajili ya taasisi au logo kwa matumizi binafsi.
Wasiliana nami
Simu: +255628420222
Facebook: Mdaki Junior
Instagram: Mdaki.Jr
![]() |
MdakiJunior - Logo Yangu |
Wasiliana nami
Simu: +255628420222
Facebook: Mdaki Junior
Instagram: Mdaki.Jr