Download version mpya ya WhatsApp 6.5 kama ilivo kawaida ya GBWhatsApp features nyingi kwa kila version mpya. Hapa umeongezewa update zaidi kwa settings ambazo hupendi unataka kufanya siri zisionekane kwa contacts zako.
Nini Napata Nikiweka GBWhatsApp Kwenye simu yangu
Ficha Usionekane kama upo Online (Hide Online Status) : Sasa unaweza kuficha status yako ya kuwa unaonekana online na kukuwezesha kutumia BGWhatsApp kama kawaida na kufurahia chat.
Ficha Blue Ticks (Hide Blue Ticks) : Unaweza ficha blue tick ambazo zinatokea baada ya kuwa umesome meseji na hii inakuwezesha kuchat kwenye group au contacts zako ila haioneshi kama umeisoma meseji.
Ficha Tick Ya Pili (Hide Second Tick) : Unaweza kuficha tick ya pili pale tu unapopokea meseji ukiwa kwenye group au contacts zako. Hii inakuwezesha kuchat ila mtu aliekutumia meseji hatoweza kuona kama meseji umeisoma au la.
Ficha Usionekane kama Unaandika Meseji (Hide Typing..) : Unaweza kuficha Typing.. unapokuwa unachat kwenye group au contacts zako.
Ficha Recording Status : Unaweza picha ficha usionekane kama unarecord ujumbe wa sauti.
Tuma File, Picha, Video katika size kubwa zaidi kulinganisha na whatsapp ya kawaida.
Features hizo na nyingine nyingi unaweza kuanza kutumia GBWhatsApp sasa kama wewe ni mtu wa kuchat kwa muda mrefu au kama unapenda kufanya maisha yako ya WhatsApp kuwa siri. Bofya Kitufe hapo chini kuweza Kudownload
Download Link1
Download Link2
Tafadhali share na marafiki na wao waweze kutumia GBWhatsApp.
Mawasiliano:

Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
Download GBWhatsApp kwa kubofya kitufe cha Download hapo juu 👍😃
ReplyDeleteThis is really awesome article. You may also like YoWhatsapp Apk and FMWhatsapp
ReplyDeleteFirst, Thanks for this great information. This post is very helpful to all users. Thanks a for sharing this awesome article. You may also like to check YoWhatsApp and FMWhatsapp
ReplyDelete