Matangazo ni muhimu sana katika kukuza biashara na kuvutia wateja katika biashara au bidhaa zako. Hakika ili kuhakikisha kuwa unakuwa na mafanikio katika biashara yako ni muhimu sana kuwa na matangazo ambayo yanaielezea bishara yako. Matangazo yanafanya watu waweze kukutambua na kukufikiria pale tu wanapopata hitaji fulani ambalo wameona hitaji hilo kutoka kwenye Tangazo lako.
Kwa Tangazo poa linalo ielezea bidhaa au biashara yako, Karibu kwa MdakiJunior Graphics. Hapa utapata tangazo poa kwa bidhaa au biashara yako. Tangazo lako litatengenezwa kulingana na mahitaji yako.
Bei ni poa na nafuu.
Tafadhali share post hii kwenye mitandao yako ya kijamii kuwawezesha walengwa wanaohitaji matangazo katika bidhaa zao waweze kufikiwa na ujumbe huu.
Tumia Hashtag hizi unapokua unashare post hii ili nipate kutambua mchango wako mtu wangu wa karibu.
#MdakiJunior #MdakiJuniorBlog #Mdakijr #MtuWanguWaKaribu
Mawasiliano:
Kwa Tangazo poa linalo ielezea bidhaa au biashara yako, Karibu kwa MdakiJunior Graphics. Hapa utapata tangazo poa kwa bidhaa au biashara yako. Tangazo lako litatengenezwa kulingana na mahitaji yako.
Tip: Kwa tangazo lenye ubora zaidi picha zilizokatika hali nzuri zinazoielezea bidhaa yako zitatumika.Hapa utatengenezewa tangazo kwa matumizi mbali mbali. Mfano: Tangazo kwa mahitaji ya kuchapisha (Print) au tangazo maalum kwa ajili ya kushara kwenye mitandao ya kijamii.
Bei ni poa na nafuu.
Tip: Bei za matangazo.
Tangazo Bei inaanzia Shillingi elfu kumi Tsh. 10000/=
Logo Bei inaanzia Shillingi elfu kumi na tano Tsh. 15000/=
Kwa mahitaji mengine ya Graphics wasiliana nami kwa namba hapo chini 👇👇
Tafadhali share post hii kwenye mitandao yako ya kijamii kuwawezesha walengwa wanaohitaji matangazo katika bidhaa zao waweze kufikiwa na ujumbe huu.
Tumia Hashtag hizi unapokua unashare post hii ili nipate kutambua mchango wako mtu wangu wa karibu.
#MdakiJunior #MdakiJuniorBlog #Mdakijr #MtuWanguWaKaribu
Mawasiliano:
Instagram: mdaki.jr
Phone: +255 628 420 222
Tumia icon za social media kuweza kunifollow Mfano: Facebook, Instagram, YouTube na Twitter.
ReplyDelete