Leo nitakuelekeza namna ya kuactivate window aina yoyote kwenye computer kwa kutumia Microsoft ToolKit. Ni rahisi sana na hauhitaji nguvu au fundi kufanya hivo.
Pia kama hujui namna ya kuweka window kwenye Computer yako usijali, nimeelekeza katika post hii 👉 Jinsi ya kuweka Window Kwenye Computer hivo baada ya kuweka window kinachofuata ni ku activate kama bado haijawa activated.
Kimsingi picha hii inakera na ndio maana nimeona ni share na wewe ujuzi huu.
Mambo ya kuzingatia
Mwisho unaweza ku restart computer yako ili kilichofanyika kiweze kumalizika kwa usahihi zaidi. Ila hadi hapo utakuwa ume activate tayari window yako.

1. Hakikisha umemaliza ku install (kuweka) window au Operating system kwenye computer yako.
2. Window uliyoweka haijawa activated.
3. Una Microsoft Tool Kit ambayo itakusaidia ku activate window yoyote.
Kama huna unaweza kui download hapa
Download Activator
Jinsi ya ku Activate Window
1. Run Microsoft Toolkit, baada ya hapo utaletewa window kama hii. Utabonyeza alama ya Window kwenye hiyo sehemu iliyowekewa duara jekundu.
2. Bonyeza activation iliopo hapo juu kwenye status bar kisha chagua tool kwa ajili ya activation iliopo kama default ni KMS Server Service kama haipo hivo basi weka hiyo tool kisha install.

Kuactivate window - Bonyeza alama ya window. |
2. Bonyeza activation iliopo hapo juu kwenye status bar kisha chagua tool kwa ajili ya activation iliopo kama default ni KMS Server Service kama haipo hivo basi weka hiyo tool kisha install.
![]() |
Kuactivate window - Chagua tool |
3. Bonyeza AZ Activator baada ya hapo utabonyeza Product keys.
![]() |
Kuactivate window - Bonyeza AZ Activator |
4. Ukimaliza hatua hizo uta Install product keys ambazo zimetengenezwa kwa kutumia hiyo tool kisha uta activate window yako.
![]() |
Kuactivate window - Install Product keys |
5. Bonyeza kitufe cha kuactivate kuweza kuiactivate window yako. Angalia kwenye Information console kama window yako imefanikiwa kuwa activated.
![]() |
Kuactivate window - Bonyeza kitufe kuactivate |
Mwisho unaweza ku restart computer yako ili kilichofanyika kiweze kumalizika kwa usahihi zaidi. Ila hadi hapo utakuwa ume activate tayari window yako.
Blog yako nzuri sana
ReplyDeleteAsante sana Bro, najitahidi kuweka new contents kadri niwezavyo watu wajifunze zaidi. Shukrani sana Mr Titus.
Deletethanks much for this knowledge
ReplyDelete