Email ni kifupisho cha "ELectronic Mail" ni moja ya vitu vya muhimu sana kwenye internet. Katika ulimwengu huu wa sasa ambapo Sayansi na Teknolojia vimechukua nafasi kubwa, ni muhimu sana kuwa na Email account. Email ina faida nyingi sana na chache nimezielezea hapo chini.
1. Inakusaidia kutuma na kupokea ujumbe kutoka kwa mtu yeyote mwenye Email account na ambaye ana Email yako.
2. Email inasaidia katika kununua bidhaa mtandaoni na kupata huduma nyingine za kielectronic. Mfano: Ebay Amazone n.k.
3. Email pia inatumika kama utambulisho wako uwapo kwenye internet.
4. Emil pia inatumika katika usajili wako kwenye mitandao ya kijamii n.k.
![]() |
MdakiJunior - Kutengeneza Email |
Mambo ya muhimu
1. Uwe na Computer ili iwe rahisi.
3. Password imara.
Jinsi ya Kutengeneza Email
Kutengeneza email ya google utafungua Browser yako, Mfano: Google Chrome, Operamini, UC Browser au nyingine yoyote.
1. Ukishafungua utaandika www.gmail.com.
Kama ndo kwanza unaanza kufungua Account utabonyeza sehemu imeandikw More Options
![]() |
MdakiJunior - Tengeneza Email - Bonyeza More Options |
![]() |
MdakiJunior - Tengeneza Email - Bonyeza Create Account |
2. Weka taarifa zako za muhimu baada ya kubonyeza Create Account. Kama vile Jina kamili, username ambayo ndio itakuwa Email yako pia unaweza ibadilisha. Password, Tarehe ya kuzaliwa, Jinsia yako, Namba yako ya simu(Ambayo pia unaweza ijaza kwa baadae unaweza acha usijaze kitu) na Email ambayo unatumia kwa sasa (Sio lazima ujaze nafasi hii waweza iacha wazi.)
![]() |
MdakiJunior - Tengeneza Email - Bonyeza Weka Taarifa Za Muhimu |
![]() |
MdakiJunior - Tengeneza Email - Bonyeza Kubaliana na vigezo na masharti. |
3. Hapo unakuwa umemaliza kutengeneza Email yako. unaweza kuanza kufurahia huduma za Google kama Kutengeneza blog, kutengeneza YouTube Channel na mengine mengi.
![]() |
MdakiJunior - Tengeneza Email - Unakuwa umemaliza |
kweli nimeona faida zake
ReplyDeleteJinsi ya kupata password uliyo isahau
ReplyDeleteKupata password niliyoisahau
DeleteYasinta2004.
DeleteHamadi
ReplyDeleteM naingiza lakini inakataa sijajua shida nini
ReplyDelete