Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Je, unataka kutengeneza video na hujui pa kuanzia? Basi ondoa shaka zipo njia nyingi sana ambazo unaweza kuzitumia kutengeneza video. Japo yapo mambo machache ambayo unatakiwa kuyazingatia. Inategemea unatengeneza video kwa kutumia simu au computer.


MdakiJunior - Jinsi ya kutengeneza Video


Hapa takuelekeza namna ya kutengeneza video kwa computer kwa kutumia CAMTASIA STUDIO kama huna unaweza Download hapa 👉👉 Download Camtasia Kama umeweka Lectora basi waweza tumia Camtasia iliyokuja na Lectora.

MdakiJunior - Lectora Inspire


Mahitaji
1. Software ya Kutengenezea (Camtasia)
2. Camera au video ambayo unataka kuitengeneza (au picha ambazo unazitengenezea video hiyo).
3. Baada ya hapo utafuata maelekezo au taratibu ambazo nimefuata katika video hiyo apo chini.


Video







No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib