Mimi ni mchoraji wa katuni. Nachora katuni kwa picha aina zote kwa ajili ya kuchapisha kwa ajili ya mapambo ya ukutani kama urembo ndani ya nyumba au kwa ajili ya kushare na wadau kwenye mitandao ya jamii kama facebook, instagram au snapchat.
Nicheki sasa kupata katuni yako kwa bei poa kabisa ndani ya siku moja picha yako inakua mekamilika. Jipatie katuni bora ya kwako mwenyewe.
Sasa inawezekana na sio tu kuishia kuziona kwenye TV sasa wewe unaweza jiweka kuwa katuni kwa muonekano bora zaidi.
Pia naganya huduma nyingine kama kutengeneza logo au nemnbo tembelea post nyingine
Bofya 👉👉👉 Hapa
Hizi ni baadhi ya picha nilizochora.
Bofya 👉👉👉 Hapa
Hizi ni baadhi ya picha nilizochora.
![]() |
KidaTz - Mchoraji Katuni |
![]() |
KidaTz - Mchoraji Katuni |
![]() |
KidaTz - Mchoraji Katuni |
No comments:
Post a Comment