Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Blog ya muziki ni ya aina yake ambayo inakupa nafasi ya kuweka muziki kwa ajili ya watu kudownload. Unaweza kuweka Audio na hata video za Youtube. Cha msingi uwe na Email ya Google yaani Gmail Account kama hauna Email ya Google usijali. Nimeelekeza namna ya kutengeneza. Sio lazima uwe na uwezo wa HTML language ila ni vizuri ukiwa na ujuzi wa awali.


Je Natengeneza vipi Blog?
Ni rahisi sana kwani ukiwa na Email ya google unaweza Tengeneza Blog nyingi upendavyo.
Fuata hatua hizi rahisi kuweza kutengeneza blog.
1. Kwanza Tengeneza Blog.
2. Fungua www.blogger.com kwenye address bar ya Browser yako au sehemu ya kusearch.
3. Baada ya hapo utafuata taratibu hizi.

MdakiJunior - Tengeneza  Blog


Taratibu za kufuata
Baada ya kufungua blogger.com, utabonyeza kitufe kilichoandikwa Create Your Blog
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Bonyeza Kitufe Cha Create Your Blog


Kisha utaweka jina ambalo ungependa lionekane kwa watu wako ambao wanatembelea Blog yako. Kisha utaendelea.
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Weka Jina.


Nenda hadi kwenye Kuanzisha Blog Yako (Create Your Blog)
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Bonyeza Create Your Blog (Anzisha Blog Yako)

Baada ya hapo utapelekwa kwenye window ambayo utatakiwa kuweka Kichwa (Heading ya Blog Yako). Anwani au Address ni URL ya Website yako (Ni vizuri ukaweka anwani ambayo inafanana na Kichwa cha Blog yako).
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Weka Kichwa au Jina la Blog yako na Address
Baada ya hapo inakuwa tayari kwa kutumia. Unaweza kuitazama blog yako kwa kubonyeza kitufe cha View Blog au Tazama Blogu. Ukianza kuweka post au Miziki Unaweza Kuiona ukiview blog.
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Hapo Blog Imekamilika.


Jinsi ya kuweka Post Unaweza bofya Kitufe cha Chapisho Jipya au New Post
MdakiJunior - Tengeneza  Blog - Kutengeneza Post.



MUHIMU: 

7 comments:

  1. Sor me nataitaj kujua jinc ya kutengeneza app

    ReplyDelete
  2. Sor me nataitaj kujua jinc ya kutengeneza app

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni jambo zuri ila kama unahitaji jua namna vile unaweza tengeneza app, inabidi kwanza ujue unahitaji kutengeneza app ya platform gani yaani Android, ios, au ipi.
      Pia uwe na uelewa wa programming language ambayo utatumia. Mfano: java, android, c++ na nyingine.
      Turudi kwenye kutengeneza App, je unauelewa wa hizo language nilokutajia hapo juu?

      Delete
  3. safi sana ila sijajua jinsi ya kuingiza nyimbo kwenye blog bado

    ReplyDelete
  4. Mimi blog ninayo lakini naitaji ku post wimbo mtu aki sachi uwonekane lakini aikubali kupakia

    ReplyDelete
  5. Nami ninayo lakini haina muonekano mzuri hata! 😥

    ReplyDelete

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib