Website ni muunganiko wa pages ambazo zinakuwa zinazungumzia kitu tofauti tofauti. Mfano: mdakijunior.blogspot.com ni website ambapo ndani yake kuna web pages nyingi zote zikiwa na mada tofauti na nyingine. Hiyo ndiyo tofauti kati ya Website na Webpage.
Nawezaje Kuwa Na Website?
Unaweza kuwa na website endapo kama uko na blog. Kwani Blog imekwisha hostiwa na google na pia imepatiwa Domain japo unaweza badili na kuweka Domain yako wewe mwenyewe. Yaani Domain ambayo umeinunua kwani google wanakupa yakwao ambayo ipo katika muundo huu "www.jinalawebsite.blogspot.com" hivo ukinunua Domain utatoa hiyo "blogspot" na kubakisha kama hivi "www.jinalawebsite.com".
![]() |
MdakiJunior - Website Kamili |
MUHIMU:
SOMA HII PIA ==> KUTENGENEZA BLOG
No comments:
Post a Comment