Ninayo blog lakini je, nawezaje kuweka muziki? Zipo njia nyingi za kuweka Muziki kwenye blog. Hivo kama unayo blog ya muziki usiwe na hofu juu ya wapi uweke miziki yako ili watu wanaokuja kwenye blog yako waweze kudownload. Moja kwa moja kupitia kwenye blog yako.
Njia za kuweka Muziki Kwenye Blog.
Kama nilivokwambia awali kuwa zipo njia nyingi za kuweka Muziki kwenye Blog.
Njia za kuweka Muziki Kwenye Blog.
Kama nilivokwambia awali kuwa zipo njia nyingi za kuweka Muziki kwenye Blog.
![]() |
MdakiJunior - Upload Muziki kwenye Blog |
- Njia ya kwanza. Kuapload miziki yako kwenye google drive kisha kucopy link na kuiweka kwenye Blog yako, yaani kwenye Post ya Muziki ambao unataka watu waweze kudownload. MUHIMU: Angalia video kuona namna ya kuweka muziki kwenye Google Drive. Mfano: Tembelea ==> www.muzikimx.blogspot.com
Video - Weka Muziki kwenye Blog
- Njia ya Pili. ni ku Copy Link Kutoka kwenye Website nyingine kisha kuiweka kwenye Blog yako. Hii njia ni rahisi lakini ni ngumu pia, kwani pale ulipocopy hiyo link endapo itabadilika basi link yako itakua haifanyi kazi.
MUHIMU:
SOMA PIA ==> JINSI YA KUTENGENEZA BLOG.
Nice
ReplyDeleteThanks a lot for feedback Mr Elia, i really appreciate.
Deletenshimdwa kuingiza music kwenye blog yangu pia nashindwa kupata link ya muziki ambayo ningeweka ingesoma msaada tafadhali
ReplyDeleteMimi nikituma link ya ambayo nime upload watu wakifungua inawapeleka kwenye email.... Mashada tafadhal
ReplyDelete