Unaambiwa computer ya kwanza ilikuwa inaitwa
ENIAC ( Electronic Numerical Integrator and Computer) hii ilikuwa maalum kwa kufanya mahesabu. Ilikuwa ni computer kubwa kuwahi kutokea duniani na ya kwanza kabisa. Ilikuwa na uwezo wa kuchukua kilometa za mraba zisizopungua 1800 na uzito sio chini ya tani 27.
 |
MdakiJunior - Ukubwa wa computer ya kwanza duniani
|
Eniac ilitengenezwa na wanafunzi wa
Chuo Kikuu cha Pennsylvania John Mauchly and J. Presper Eckert.
 |
MdakiJunior - Computer ya kwanza iliyoitwa ENIAC |
No comments:
Post a Comment