Full width home advertisement

Graphics

Tech News

Post Page Advertisement [Top]

Katuni ni michoro ambayo inaelezea hali halisi ya kile kilicho chorwa. Picha za katuni ni zile picha ambazo zinachorwa kwa kutumia mikono au kwa kutumia computer. Ikiwa unahitaji kupata huduma hii ya kuchorwa nicheki nafanya kwa bei poa sana na picha zinakuwa katika uhalisia.
image
MdakiJunior - Katuni Baada ya Kuchora


MdakiJunior - Kabla ya Kuchora
Kwa Shilingi Ngapi unachora?
Bei nafuu na unapata Katuni safi.
Bei za kuchora:
  1. Mtu Mmoja Ndani ya Picha = 3000/=
  2. Watu wawili Ndani ya Picha = 3000 na kuendelea inategemea na picha yenyewe.
  3. Watu zaidi ya hapo = Maelewano.
Karibu sana.

Zipi kazi ulizowahi kufanya?
Na zifuatazo ni baadhi ya kazi ambazo nimewahi kuzifanya za katuni.
1. Ameikubali kwa asilimia 100%

image
MdakiJunior - Baada ya Kuchora


image
MdakiJunior - Kabla ya Kuchora

2. Ameikubali kwa asilimia 100%

image
MdakiJunior - Baada ya kuchora

image
MdakiJunior - Kabla ya kuchora

Kwa picha zaidi tembelea account yangu ya instagram
Simu:
0628 420 222
0759 814 824
0713 12 44 91









No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]

| Designed by Colorlib