Windows ni series ya Operating System ambazo zimetengenezwa na Microsoft kila vision ya window inakuja na Graphical User Interface (GUI). Graphical User Interface inajumlisha vitu kama zile icon unazoziona kwenye computer yako ambazo zinakusaidia kuweza kuitumia kwa urahisi. Mfano, window, na icon nyingine kama vile My Computer.
Ubora na ufanisi wa ufanyaji kazi wa computer yako unategemea sana muudo wa computer yaani (Computer Architecture). Architecture ya computer yako ndiyo inayowezesha computer yako kuwa ni aina gani ya Software zinaweza fanya kazi kwenye computer yako, na hardware zipi zinaweza endana na muundo huo wa computer yako.
Kwa mfano Intel x86 processor architecture ni standard ambayo inatumiwa na computer nyingi ulimwenguni, hii imetengenezwa na Intel. Processor AMD pia hutumika kwenye PC nyingi.
Njia rahisi ya kuweza kuju kuwa machine/computer yako ni 64 au 32bit ni kuangalia Memory (RAM) hivo basi kama computer yako iko na RAM chini ya 4Gb basi hiyo ni 32 bit. Na kama machine yako ina RAM ya zaidi ya 2 Gb basi hiyo ni 64 bit. Zipo njia nyingine za kuweza kutambua muundo wa machine yako.
![]() |
MdakiJunior - window bora kwa computer yako |
Ubora na ufanisi wa ufanyaji kazi wa computer yako unategemea sana muudo wa computer yaani (Computer Architecture). Architecture ya computer yako ndiyo inayowezesha computer yako kuwa ni aina gani ya Software zinaweza fanya kazi kwenye computer yako, na hardware zipi zinaweza endana na muundo huo wa computer yako.
Kwa mfano Intel x86 processor architecture ni standard ambayo inatumiwa na computer nyingi ulimwenguni, hii imetengenezwa na Intel. Processor AMD pia hutumika kwenye PC nyingi.
Tajuaje kama computer yangu ni 32 au 64 bit?
![]() |
MdakiJunior - Kujua kama computer ni 32-bit au 64-bit |
NOTE: Hapa namanisha RAM ile ambayo imekuja moja kwa moja na computer yako kutoka kiwandani na sio ile RAM ya kuongezea.
Je Window ipi ni bora kwa computer yako?
Window zote ni bora na kila window inafanya kazi vizuri zaidi kulingana na muundo wa computer yako. Kwa kuangalia muundo tunaweza kuzigawa computer katika makundi mawili.
![]() |
MsakiJunior - Window ipi bora |
Window zote ni bora na kila window inafanya kazi vizuri zaidi kulingana na muundo wa computer yako. Kwa kuangalia muundo tunaweza kuzigawa computer katika makundi mawili.
- 32 bit hii inamaana kuwa computer ina uwezo wa kuchakata data zenye uwezo wa 32 bit kwa muda.
- 64 bit hii inamaana kuwa computer inakuwa na uwezo wa kutuma data kwa kasi kubwa zaidi ukilinganisha na 32 bit.
Computer ambayo ina muudo wa 32 bit itafanya kazi vizuri zaidi ukiweka Window maalum kwa ajili ya 32 bit, vivo hivyo kwa 64 bit.
NOTE: Ukiweka window ya 64 bit kwenye machine ya 32 bit inaweza isifanye kazi kwa ufanisi.
No comments:
Post a Comment