Partition ni kitendo cha kugawa storage ndani ya computer yako ili kuweza kutenganisha directory kwa ajili ya Operating System(OS) na nyingine kwa ajili ya kuhifadhia data zako. Ni vema kufanya partition ili hata ukihitaji kubadili OS badi data zako zinakuwa salama.
![]() |
MdakiJunior - Kufanya Partition |
Jinsi ya kufanya
- Fungua command prompt.
- Kisha andika "diskmgmt.msc"
- Subiri kwa sekunde chache kama computer yako ina processor ndogo.
- Chagua disk ambayo unataka kuifanyia partition kisha endelea.
- Angalia video hii kupata mwongozo.
![]() |
MdakiJunior - Kufanya Partition |
Video - Kufanya Partition
No comments:
Post a Comment